Ben
Pol akiwa katika Red Carpet. Ben Pol ana wania tuzo ya msanii bora wa
kiume usiku wa leo katika Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Wengine
katika kipengele hiki ni Diamond, Linex, Mzee Yusuf na Ommy Dimpoz.
Nani kutoa ushindani zaidi kwa Ben Pol?
Nani kutoa ushindani zaidi kwa Ben Pol?

No comments:
Post a Comment