Kocha wa Chelsea Antonio Conte awa kivutio katika game ya kwanza ya Premier league .
Chelsea ilifanikiwa kuwafunga wangonga nyundo wa London kwa goli 2 kwa 1.
Hazard kwa penalty na Costa dk.89.
Hivyo na kufanya makocha wapya wote kuanza kwa ushindi.
No comments:
Post a Comment