Pages

Sunday, 15 September 2013

YANGAAAAAAAAAAA JAMANI DROO YA PILI HII!!!!!!!!!!! KAH?! LIGI NGUMU HAKIKA

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara jana iliendelea katika viwanja saba tofauti huku timu ya Young Africans wakitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji Mbeya City katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya

No comments:

Post a Comment