Pages

Tuesday, 4 June 2013

Wenger amuwania ROONEY, je atampata?

Baada ya Wenger kusema Arsenal itakuwa kwenye mbio za kumnasa Rooney akiamua kuondoka Manchester United, Well kwa sasa kuna tetesi kuwa Michu wa Swansea City nae yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaotajwa kutakwa na Arsenal. Kwenye Orodha hii wapo Gonzalo Higuain, Stevan Jovetic Na Rooney. Michu amekuwa na msimu mzuri wa Premier League akifunga magoli 22 Baada ya kununuliwa kwa pauni milioni 2 kutoka Rayo Vallecano.[Chanzo Bbc]

No comments:

Post a Comment